EleonoraBarabashina.Net – jinsi upendo nilivyoutafuta, nikaupata na kuupoteza. Oleg Teterin Jr,
nsi upendo nilivyoutafuta, nikaupata na kuupoteza
Tafsiri kwa Kiswahili
Sehemu ya Pili. NIKAUPATA
Kwa ajili ya mke wangu halisi na wa pekee…
UFAFANUZI
Ni riwaya ambayo inasimulia matukio kadhaa yanayotokea katika nchi 33 na miji 120 duniani mnamo miaka kuanzia 2014 hadi 2019, na ilitungwa kuhusu historia ya kushangaza ya upendo. Mke wangu ni mwigizaji anayeanza kujifunza na modeli. Umri wake ni miaka 21, na wangu ni 43. Tulipokutana alikuwa na umri wa 16, na mimi – 38. Mimi ni mtayarishaji wa filamu 6 ambazo zilikusanya ada USD milioni 100 kote duniani, ikiwemo filamu “Chef” ya John Favreau (miongoni mwa wachezaji ni Robert Dawny-Jr. na Scarlett Johanson). Riwaya hii ilitafsiriwa kwa lugha 13 (kama vile Kirusi, Kifaransa. Kiingereza, Kihispaini, Kireno, Kiarabu, Kichina, Kihindi, Kikorea, Kijapani, Kiitalia, Kijerumani, Kiswahili). Inatarajiwa kupiga picha ya sinema kutokana na riwaya hiyo, ambamo wengi wa wachezaji watakuwa ni wahusika wenyewe wa kitabu – mtindo huo utakuwa kwa mara ya kwanza katika kupiga picha ya sinema ulimwenguni. Baada ya kumaliza kitabu hicho, natumai watayarishaji maarufu wa sinema akiwemo aliyenifahamu Oliver Stown, watazingatia nafasi ya kufanya filamu hiyo. Hapa chini muangalie na kusoma sura za kwanza za riwaya. Nitamshukuru kila kati yenu kwa kupata maoni yenu kwa anwani ifuatayo – [email protected]
Конец ознакомительного фрагмента.
Текст предоставлен ООО «ЛитРес».
Прочитайте эту книгу целиком, купив полную легальную версию на ЛитРес.
Безопасно оплатить книгу можно банковской картой Visa, MasterCard, Maestro, со счета мобильного телефона, с платежного терминала, в салоне МТС или Связной, через PayPal, WebMoney, Яндекс.Деньги, QIWI Кошелек, бонусными картами или другим удобным Вам способом.