Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha. Wael El-Manzalawy

Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha

Год выпуска: 0

Автор произведения: Wael El-Manzalawy

Серия:

Жанр: Личностный рост

Издательство: Tektime S.r.l.s.

isbn: 9788835432296

Краткое описание:

”Kushindwa kunaweza kukuangamiza ikiwa wewe ni mdhaifu, lakini ikiwa wewe una nguvu, unaweza kushinda kutofaulu.”-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa.