Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sov godt, lille ulv (Kiswahili – Kinorwe). Ulrich Renz

Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sov godt, lille ulv (Kiswahili – Kinorwe)

Год выпуска: 0

Автор произведения: Ulrich Renz

Серия: Sefa Picture Books in two languages

Жанр: Учебная литература

Издательство: Bookwire

isbn: 9783739927084

Краткое описание:

Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili – Kinorwe), na online audiobook na video Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki… ♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili. ► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Tospråklig barnebok, fra 2 år (swahili – norsk), med online lydbok og video Tim får ikke sove. Hans lille ulv har forsvunnet! Hadde han kanskje glemt ham ute? Helt alene går han ut i natten – og får uventet selskap… ♫ Hør historien lest inn på morsmål! I boken vil du finne en link som gir deg gratis tilgang til lydbøker og videoer på begge språk. ► Med fargeleggingssider! Via en lenke i boken kan bildene fra historien lastes ned for fargelegging.